Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni anapenda kuwatangazia wasailiwa wa kada yaMtendaji wa Mtaa III, Msaidizi wa kumbukumbu II,Katibu Mahsusi III, na Msaidizi wa Hesabu waliofanya usaili wa mchujo wa kuandika na kufaulu kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 12.10.2017 hadi tarehe 16.10.2017 katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni iliyopo Mjimwema, saa moja na nusu (1:30)asubuhi kwa tarehe zilizoainishwa katika tangazo hili.
Wasailiwa wote mnakumbushwa kufika na vyeti vyenu vyote halisi (Original) siku ya usaili kama ifuatavyo:
Cheti cha kidato cha nne (Form Four),
Cheti cha Taaluma,
Cheti cha Kuzaliwa,
Ambaye atashindwa kuwasilisha vyeti halisi (Original) hataruhusiwa kuendelea na usaili.
MATOKEO YA USAILI WA AWALI, WALIOCHAGULIWA NA WALIOSHINDWA YAPO HAPA
MATOKEO YA USAILI WA AWALI, WALIOCHAGULIWA NA WALIOSHINDWA YAPO HAPA
Your comments below
Welcome Back Nimam News