Gazeti jipya la Michezo na Burudani ambalo linatarajia kuanza hivi karibuni la SpotiExtra, linatafuta Mhariri na Mhariri Msaidizi.
Wahariri hao wanatakiwa kuwa wazoefu zaidi ya miaka mitano katika kazi ya uandishi wa habari hasa katika upande wa print au magazeti.
Unachotakiwa kufanya ni kutuma maombi yako na kueleza nafasi unayoitaka kati ya zilizotajwa. Hakikisha unaambatanisha Wasifu Binafsi (CV) na vyeti vyako.
TUMA MAOMBI YAKO KWA MKUU WA KITENGO CHA AJIRA KUPITIA EMAIL: spotiextra@gmail.com
Welcome Back Nimam News
Blogger Comment
Facebook Comment