Wasailiwa waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili wa mahojiano, Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizopo Jengo la Maktaba kuu ya Taifa, tarehe 28 Novemba 2017 saa moja asubuhi wakiwa na vyeti vyao halisi vya taaluma pamoja na vitambulisho
Blogger Comment
Facebook Comment