Welcome Back Nimam News
BREAKING NEWS: CHANGES OF TIME TABLE OF ATTEND THE INTERVIEW AT PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Waombaji kazi wa nafasi ya Afisa Biashara Daraja IIwalioitwa kwenye usaili wa Mchujo uliopangwa kufanyika tarehe 2 Desemba 2017 katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na tarehe 7 Desemba, 2017 kwenye usaili wa Mahojiano, wanajulishwa kuwa usaili wa kada hiyo umesogezwa mbele hadi tarehe 16 Desemba, 2017 kwa usaili wa Mchujo na tarehe 20 Desemba, 2017 katika usaili wa Mahojiano.
Blogger Comment
Facebook Comment