APPLICANTS PASS WRITTEN INTERVIEW AT PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT ON 26 NOVEMBER 2017

WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA KUJA NA VYETI VYAO HALISI VYA KITAALUMA WASAILIWA WA KADA YA TECHNICIAN II (ICT) WATAFANYA USAILI WA VITENDO UCC - POSTA MPYA JUMATATU TAREHE 27 NOVEMBA 2017 SAA MOJA ASUBUHI, WASAILIWA WA KADA YA LEGAL OFFICER WATAFANYA USAILI WA VITENDO TIA -KURASINI JUMATATU TAREHE 27 NOVEMBA 2017 SAA MOJA ASUBUHI NA WASAILIWA WA KADA ZILIZOBAKIA WATAFANYA USAILI WA MAHOJIANO OFISI ZA PSRS JUMANNE TAREHE 28 NOVEMBA 2017 SAA MOJA ASUBUHI

Welcome Back Nimam News

Your Comment Below

 
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment