Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze anawatangazia kuitwa kazini waombaji walio faulu usaili uliofanyika mnamo Tarehe 02 – 06/ Oktoba 2017
Walio faulu usaili mnatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;
Kulipoti ofisi ya mkurugenzi mtendaji siku ya tarehe 27.11.2017 saa 4:00 Asubuhi bila kukosa
Kuwasirisha vyeti halisi (original) na nakala 2 ili kukamilisha taratibu za ajira katika utumishi wa Umma kama ifuatavyo;
- Cheti cha kuzaliwa
- Chaeti cha kidato cha nne au Sita
- Cheti cha taaluma
- Passport size Tatu (3
Welcome Back Nimam News
Blogger Comment
Facebook Comment